LILE sakata la madai kwamba, staa mkubwa wa filamu za Bongo, Jacob
Stephen ‘ JB’ amenaswa akiwa na mke wa mtu mjini Dodoma limeingia katika
sura tofauti baada ya habari yenyewe kujaa utata.
Staa mkubwa wa filamu za Bongo, Jacob Stephen ‘ JB’.
Habari za awali zilidai kuwa, tukio hilo lilitokea wikiendi iliyopita
katika hoteli moja (jina lipo) iliyopo mjini Dodoma ambapo JB alikutwa
na mke huyo wa mtu aliyetambulika kwa jina moja la Sarah.
Kwa mujibu wa mwanaume aliyedai kuwa ni mume wa Sarah aitwaye Rama
(jina moja), alifuatilia nyendo za mkewe huyo kwa saa kumi na mbili siku
ya tukio na mawasiliano yake ambapo kwa muda mrefu alikuwa akiwasiliana
na JB ambapo walipanga kukutana katika hoteli hiyo usiku.
Saa tatu usiku, Rama alifika ndani ya hoteli hiyo na kuingia kwenye
chumba
No comments:
Post a Comment