Mapenzi ni hatari na yanaumiza moyo.
Msanii wa Filamu akiwa ni miongoni mwa wasanii waliokuwa na mahusiano na Diamond Platinum,leo amefunguka na kukiri kweli alikuwa na uhusiano wa kimapenzi Diamond ila hajui ni nini kilisababisha waacheni.
'Unajua mapenzi ni hatari ndio kweli nilikuwa katika mahusiano naye mpaka akaniandikia wimbo unaitwa 'Mawazo',daah sitokuja kusahau ila ndio hivyo imeshatokea na mimi naishi maisha yangu na wala sio kwamba nilifuata hela kwake hata kwa Dallas pia sikufuata hela ni penzi'Alisema Wolper.
No comments:
Post a Comment