MWENYEKITI wa Kamati ya Umoja wa Mashirikisho ya Sanaa
Tanzania, Kimela Billa, ameutaka uongozi wa Shirikisho la Muziki Tanzania, kumchukulia
hatua ya kinidhamu, msanii wa muziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ kwa
kosa la kukiuka maadili ya Tanzania katika tamasha la Serengeti Fiesta, mkoani
Iringa.
Shilole alipanda jukwaani akiwa anacheza
wimbo wake wa ‘Nakomaa na jiji’ huku akiwa amevaa nguo ambazo zinaonesha
maumbile yake yote ya mwili.
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Billa alisema Shirikisho
la muziki chini ya rais wake, Addo Novemba wanatakiwa kuchukua hatua zaidi juu
ya shilole kwa kosa la kuwadhalilisha wanawake ikiwa ni pamoja na kukiuka
maadili ya Tanzania.
“Hatukatai hayo mambo yapo lakini kwa staili ile sisi kama
viongozi wa sanaa hatutaweza kuvumilia, shirikisho la muziki wakishindwa kutekeleza
hili lazima kamati ilivalie njuga swala hilo, kiukweli wanalidhalilisha taifa
hawa wasanii, mbona wanaume hafanyi shoo zao uchi,? Alihoji Billa.
Alisema shirikisho la muziki liige mfano wa shirikisho la
filamu kama lilivowaonya Wema Sepetu na Aunt Ezekiel kwa makosa kama hayo,
ambapo anamini kwaasilimia kubwa kunachangia kuwa na nidhamu wanapopanda
jukwaani.
“Angekua ameenda kwa shughuli za filamu wangelifanya wao lakini hili shirikisho la muziki wanatakiwa wakae meza moja na Shilole kulizungumzia hilo, wao wanakua wazito kuwachukulia hatua wasanii wa muziki kuliko filamu lakini kwa hili haitawezekana, ,” alisema
ANGALIA JINSI SHILOLE ALIVYONYONYWA MATITI YAKE NA SHABIKI JUKWAANI KATIKA MOJA YA MATAMASHA YAKE ....TAZAMA MAPICHA HAPA!!
SHABIKI LIKIFAIDI MATITI YA SHILOLE
No comments:
Post a Comment