Habari za uhakika zilitua ndani ya ofisi zilizopo Mwananyamala Komakoma zilisema Bond ambae aliwahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi kwa zaidi ya Miaka 4 na nusu na Mtangazaji Lulu Semagongo ambae kipindi flani aliwahi kukiri kwenye vyombo vya habari hasa magazeti pendwa kuwa yeye mzuka wake ni kufanya mapenzi na maumbile tangu akiwa mdogo.Hivyo basi hali imetiliwa shaka na mashabiki wa Wastara kuwa kwa vile wawili hao wameonekana kuwa na mahusiano ya kimapenzi basi ni dhahiri kuwa Wastara wame makini la sivyo kijana huyo anaweza kuendeleza tabia yake hiyo aliyokuwa anaifanya kwa Lulu.
Chanzo chetu kiliendelea kuilza Xdeejayz kuwa Bond ambae tangu aachane na Lulu hakuwahi kuwa na mpenzi hata siku moja" Huyo Bond anaogopwa sana na mabint kwa sababu ya kauri ya Ant Lulu alipotangaza kuwa yeye mzuka wake ni kifanya mapenzi kinyume na maumbile hivyo hakuna msichana yeyote anaemkubari kwa hofi hiyo hivyo hata Wastara tunashangaa wamepatana kiasi hicho"
Kilisema chanzo hicho.Mahusiano ya Bond na Wastara yalianza kwa siri sana lakini hivi sasa kila kitu wazi hadi ndugu wa Wastara wanamjua bond kama shemeji yao,
|
Msanii nyota kwenye kiwanda cha Bongo muvi Wastara amepewa tahadhari kubwa na mshabiki wake kuhusu mpenzi wake mpya ambae ni prodyuza wa filamu aliyefahamika kwa jina la Bond Bin Sinnon kuwa amekuwa akipenda sana mapenzi kinyume na maumbile hakuna mfano.
Habari za uhakika zilitua ndani ya ofisi zilizopo Mwananyamala Komakoma zilisema Bond ambae aliwahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi kwa zaidi ya Miaka 4 na nusu na Mtangazaji Lulu Semagongo ambae kipindi flani aliwahi kukiri kwenye vyombo vya habari hasa magazeti pendwa kuwa yeye mzuka wake ni kufanya mapenzi na maumbile tangu akiwa mdogo.Hivyo basi hali imetiliwa shaka na mashabiki wa Wastara kuwa kwa vile wawili hao wameonekana kuwa na mahusiano ya kimapenzi basi ni dhahiri kuwa Wastara wame makini la sivyo kijana huyo anaweza kuendeleza tabia yake hiyo aliyokuwa anaifanya kwa Lulu.
Chanzo chetu kiliendelea kuilza Xdeejayz kuwa Bond ambae tangu aachane na Lulu hakuwahi kuwa na mpenzi hata siku moja" Huyo Bond anaogopwa sana na mabint kwa sababu ya kauri ya Ant Lulu alipotangaza kuwa yeye mzuka wake ni kifanya mapenzi kinyume na maumbile hivyo hakuna msichana yeyote anaemkubari kwa hofi hiyo hivyo hata Wastara tunashangaa wamepatana kiasi hicho" Kilisema chanzo hicho.Mahusiano ya Bond na Wastara yalianza kwa siri sana lakini hivi sasa kila kitu wazi hadi ndugu wa Wastara wanamjua bond kama shemeji yao,
No comments:
Post a Comment