Raia huyo ambaye hakuweza kupata msaada wa huduma ya kwanza kwa wasamalia wema kama ilivyo ada ya Watanzania kabla ya kutangaza donge nono kwa atakayemuosha kumwondolea tope hilo lililochanganyika na kinyesi ili aweze kuelekea kupata huduma ya tiba.
Baadhi ya mashuhuda wa ajali hiyo pamoja kulaumu kukimbia kwa dereva aliwagonga walieleza tabia hiyo kuchagizwa na tabia ya waendesha pikipiki kuwa wamekuwa chanzo cha madereva kutoweka mara baada ya kuwagonga kutokana na tabia yao ya kujichukulia sheria mkononi mara wanapopata ajali kwa inayohusisha magari na wengine kutumia fursa hiyo kuiba vitu kwenye magari.
No comments:
Post a Comment