Social Icons

Dondosa Twitter Facebook

Saturday, December 14, 2013

BAADA YA KURIPOTIWA AMEKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA BLAZIL...MSANII WA BONGO MOVIE "AISHA BUI" AONEKA SINZA

 
Mwigizaji wa filamu za kibongo aliyesemekana kuwa amekatwa nchini brazil akiwa na madawa ya kulevya Aisha Bui ameonekana nchini hivi karibuni akiwa kwenye salooni ya mwanadada mwingine muigizaji Nisha iliyopo maeneo ya Sinza jijini Dar es Salaam.

Mwadada huyo ambaye tayari ameigiza filamu kadhaa na mastaa wenzake alionekana kwenye saloon ya Salma Jabu(Nisha) akiwekwa sawa nywele zake kama anavyoonekana pichani.

No comments:

Post a Comment