skip to main |
skip to sidebar
"MIMI SIO FREEMASONS, HUU MCHORO TU.." NISHA AFUNGUKA.SOMA HAPA
Mcheza
filamu za kitanzania Salma Jabu Nisha amesema yeye sio “freemasoon“na
kwamba kinachoonekana mkononi mwake ni mchoro wa nyota na herufi S yenye
maana ya Salma.
Salna amesema hayo baada ya shabiki mmoja kumuuliza swali ilo baada ya kuweka picha kwenye mtandao wa “facebook“.
“mimi sio freemasoon huu mchoro ni wa nyota na hii herufi ya S maana yake ni Salma hakuna zaid ya hapo“
No comments:
Post a Comment