Karibu Home African Food Tujinoge Kwa Vyakula Vyoote Vya Asili.Tunapika Special Diet Na Chakula Chochote Upendacho.Tupo Mtaa wa Omari
Londo Na Livingstone Upande Wa Kutokea Lumumba 0714-581750
PICHA ZA SHOW YA P SQUARE ILIVYOFANA DAR,JIDE NA BEN POL WAFUNIKA
Peter na Paul Okoye wa kundi la P-Square wakilivamia jukwaa la Leaders usiku huu.
Mashabiki wakipagawa na shoo ya P-Square.
Mwanamuziki
Judith Wambura 'Lady Jaydee' au 'Anaconda' akiwapagawisha mashabiki
wake waliohudhuria katika Viwanja vya Leaders Club usiku huu katika shoo
wa wakali P-Square.…
Mwanamuziki
Judith Wambura 'Lady Jaydee' au 'Anaconda' akiwapagawisha mashabiki
wake waliohudhuria katika Viwanja vya Leaders Club usiku huu katika shoo
wa wakali P-Square.
Watu... Jideeeeeeeeeeee...
Machozi Band nao walikuwepo kumback up Jide.
Anaconda Jide akiwa na P- Square
Team Anaconda ikiwajibika Kwa Stage
Team Anaconda...Ni Balaa...
Anaconda Jide...Kwa stage
Ben Pol- Kwa stage
Back Stage-Gadner Habash na Weusi
Mc wa Shughuli Dullah
Nyomi lilivyofunga..leaders
No comments:
Post a Comment